Home » Afrika

Afrika

28 April 2016
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 taarifa za kifo cha mwimbaji Mkongwe kutoka Congo DRC aitwae Papa Wemba ziliripotiwa kuwa alifariki baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Ivory Coast, leo April 28 2016 mwili wa marehemu Papa Wemba umewasili Congo.
21 April 2016
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema uchunguzi kuhusu ununuzi wa silaha miaka ya tisini uliofanywa na serikali, umebaini kuwa haukuwa na visa vyovyote vya ufisadi. Wapinzani wa serikali ya ANC kwa muda mrefu wamekuwa wakidai kuwa Dola Bilioni 2 nukta 1 zilizotumiwa na serikali kununua silaha hizo kununua silaha hizo kutoka jeshi kutoka Mataifa... [Read More]
21 April 2016
Afisa wa juu wa jeshi nchini Burundi  ameuwa akiwa juu ya pikipiki jijini Bujumbura katika mauaji ya hivi punde nchini humo.
20 April 2016
Umoja wa Mataifa unasema umetuma ujumbe wake nchini Ugiriki kuchunguza ripoti za kuzama kwa mamia ya watu waliozama katika Bahari ya Mediterranean. Ripoti zinasema kuwa huenda kati ya wahamiaji 400 na 500 wamepoteza maisha baada ya kuzama katika Bahari hiyo. Uchunguzi huu umetangazwa ma msemaji wa Shirika la wakibizi duniania Ariane Rummery baada... [Read More]
20 April 2016
Polisi mjini Lubumbashi Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepambana na maelfu ya waandamanaji wa upinzani wanaomtaka rais Joseph Kabila kutowania tena urais mwezi Novemba mwaka huu. Waandamanaji hao walionekana wenye hasira huku wakitamka, Kabila lazima aondoke, aje atue, tumechoka, walisikika wakisema mbele ya Ofisi ya... [Read More]
20 April 2016
Waangalizi wa utekelezwaji wa mkataba wa amani nchini Sudan Kusini wanaonya kuwa kutorejea kwa kiongozi wa waasi Riek Machar jijini Juba siku ya Jumatatu au jana kama ilivyotarajiwa, kunahatarisha kuzua tena kwa mapigano nchini humo. Mwenyekiti wa Waangalizi hao ambaye ni rais wa zamani wa Boswtana Festus Mogae anasema, ikiwa Machar hatafika Juba... [Read More]
20 April 2016
Polisi nchini Zambia inasema watu wawili wameuawa baada ya kuteketezwa moto jijini Lusaka. Kuanzia wiki hii, raia wa Zambia wamekuwa wakiwavamia raia wa kigeni hasa wale kutoka Rwanda kwa madai kuwa wamekuwa wakihusika na mauaji ya wazawa na kutumia sehemu za miili yao kwa sababu za kishirikina. Ripoti zinasema raia saba wa Zambia wameuawa jijini... [Read More]
20 April 2016
Mwanafunzi mmoja wa kike alipata mushtuko wa moyo alipokamatwa pamoja na wenzake wawili na maafisa wa polisi katika Chuo Kikuu cha Rhodes nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kulaani visa vya ubakaji vinavyoendelea katika Chuo chao. Ripoti zinasema kuwa, mwanafunzi aliyepata mshtuko huyo alikibizwa hospitalini kupata matibabu. Wanafunzi hao wa... [Read More]
06 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 6, 2016 amezindua daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha
Rusumo.     Zoezi hili la uzinduzi  limefanyika kwa pamoja kwa husisha  Rais Mhe. Dkt. Magufuli wa Tanzania na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, pia tukio hili... [Read More]
25 March 2016
Ndege za kivita za jeshi la MONUSCO nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, hii leo zimefanya mashambulizi kulenga ngome za waasi wa mashariki mwa nchi hiyo wa ADF, ambapo watu kadhaa wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa. Naibu kamanda wa vikosi vya kulinda amani vya umoja wa Mataifa nchini humo, MUNUSCO, Jean Baillaud amethibitisha... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika