Home » Benki Kuu » Ijue Benki kuu ya Tanzania

Ijue Benki kuu ya Tanzania

21 January 2016 | Benki Kuu

Benki Kuu ya Tanzania ni benki ya kitaifa inayosimamia masuala ya kibenki na kifedha. Makao yake makuu yapo  nchini . Kati ya majukumu yake ni utoaji wa fedha za Tanzania, .

Benki Kuu ya Tanzania iliundwa na . Mwaka 1995, baada ya kuonekana kuwa benki hii ina majukumu mengi kuzidi uwezo wake,  ilipitishwa na kuipa benki hii jukumu moja ambalo ni kusimamia sera ya fedha nchini.

Benki hii huongozwa na Bodi ya Wakurugenzi yenye wajumbe kumi.

Ad