Home » Michezo » David Rudisha wa Kenye anyakua medali ya dhahabu mita 800

David Rudisha wa Kenye anyakua medali ya dhahabu mita 800

16 August 2016 | Michezo

Bingwa wa mbio za mita 800 duniani ametetea medali yake ya dhahabu katika mbio hizo kwenye mashindano ya Olimpiki kwa kushinda fainali Jumatatu usiku Rio de Janeiro.

Kwa ushindi huo Rudisha ametetea medali yake ya dhahabu aliyoshinda katika michezo ya Olimpiki ya London 2012. Kwa ushindi huo pia Rudisha ameipatia Kenya medali ya pili a dhahabu katika michezo ya

 

 

 

Ad