Home » Nje ya Afrika

Nje ya Afrika

15 August 2016
 Bonyeza picha
27 July 2016
Hillary Clinton ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuidhinishwa kuwa mgombea urais katika historia ya nchi ya Marekani. Ni rasmi sasa kuwa Seneta huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 68, atapambana na mgombea wa Republican Donald Trump wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Novemba mwaka huu. Clinton alihitaji wajumbe 2,382 kuidhinishwa kwa... [Read More]
24 June 2016
Thamani ya sarafu ya Uingereza, Sterling pound imeshuka kwa kiwango kikubwa mno kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 30 iliyopita. Wafanyibiashara wamepandwa na ghadhabu kubwa kutokana na matokeo ya kura ya maoni nchini Uingereza ambayo imeonesha wazi kuwa asilimia 52% ya Waingereza wangependa taifa hilo lijiondoe katika muungano wa EU. Katika... [Read More]
24 June 2016
Uingereza imeamua KUJITENGA katika umoja wa ulaya kwa tofauti ya kura zaidi ya milioni moja.   KUJITOA KATIKA UMOJA WA ULAYA #0000CD">17,401, 742 - 52%   KUBAKI KATIKA UMOJA WA ULAYA  KWA 48%   WAMEAMUA KUJITOA KWA TOFAUTI YA KURA 1,269,501  
20 June 2016
Wakati dunia hii leo ikiadhimisha siku ya wakimbizi duniani, nchi ya Ufaransa ni miongoni mwa mataifa barani Ulaya yaliobeba mzigo wa wakimbizi kutoka katika mataifa mbalimbali duniani hususan Syria Eritrea, Sudan na Iraq. Serikali ya nchi hiyo hivi karibuni ilichukuwa hatuwa za kuuunda kambi za kuwakusanya pamoja wakimbizi hao, lakini hatuwa hii... [Read More]
17 June 2016
Vongozi mbalimbali duniani wanaedelea kutuma risala za rambirambi baada ya kuuawa kwa Mbunge wa chama cha Leba Jo Cox hapo jana aliyepigwa risasi na kudungwa kisu. Mbunge huyo mwenye umri wa miaka 41, alishambuliwa wakati alipokuwa katika eneo bunge lake na mwanamume ambaye tayari ameshakamatwa na inadaiwa kuwa alimtamka neno Uingereza kwanza... [Read More]
17 June 2016
Madaktari wasiokuwa na mipaka ya MSF, wametangaza kutochukua fedha zozote kutoka kwa Umoja wa Ulaya. Shirika la Madaktari hao wamesema sababu yao ya kuchukua uamuzi huo ni kwa sababu ya sera mpya ya Umoja huo kuhusu wakimbizi. MSF inasema, mkataba wake na Uturuki kuwa nchi hiyo iwachukue wakimbizi wote watkaofikia Ugiriki haukubaliki. Mwaka... [Read More]
15 June 2016
China imemwonya rais wa Marekani Barrack Obama kukutaa na kiongozi wa kiroho wa eneo la Tibet Dalai Lama katika Ikulu ya Marekani. Beijing inasema ikiwa rais Obama atakutana na kiongozi huyo basi huenda hali ikaharibu uhusiano wake na Washingtin DC. Mazungumzo kati ya viongozi hawa wawili yatakuwa ya faragha. China imekuwa ikimshtumu Dalai Lama... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Nje ya Afrika