Home » Tanzania

Tanzania

05 February 2016
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania inaandaa sheria maalum itakayokuwa inawataka wamiliki wa nyumba wanaopangisha kwa bei kubwa kulipia kodi kama wanavyofanya wafanyabiashara wengine nchini Tanzania. Akiongea na waandishi wa habari hii leo Jijini Dar esa Salaam Mkuu wa kitengo cha kodi katika Wizara hiyo Denis... [Read More]
05 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph katika picha ya pamoja na jaji mkuu wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa katiba na sharia Dr. Harson Mwakyembe,Naibu spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson, jaji Mkuu wa Kenya Dkt. Willy Mutunga pamoja naviongozi mbalimbali wa Dini... [Read More]
05 February 2016
Mwanafunzi Mtanzania alishambuliwa na kuvuliwa nguo na umati uliokuwa na hamaki katika jiji la Bangalore, kusini mwa India. Alishambuliwa baada ya gari la mwanafunzi kutoka Sudan kumgonga na kumuua mwanamke mmoja eneo hilo. Umati ulimvamia mwanafunzi huyo wa kike wa umri wa miaka 21 pamoja na marafiki wenzake watatu, wote kutoka Tanzania.... [Read More]
04 February 2016
focus media Ndio walioshiriki katika kuandaa maudhui ya kuhamasisha wananchi wajiandikishe katika mfumo wa BVR na kisha kuandaa maudhui ya matangazo ya Uchaguzi. Kupitia mitandao hii hapa chini:- SMS +255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
http://myradiostream.com/FocusRadioTz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania YOUTUBE / TV
http... [Read More]
04 February 2016
focus media Ndio walioshiriki katika kuandaa maudhui ya kuhamasisha wananchi wajiandikishe katika mfumo wa BVR na kisha kuandaa maudhui ya matangazo ya Uchaguzi. Kupitia mitandao hii hapa chini:- SMS +255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
http://myradiostream.com/FocusRadioTz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania YOUTUBE / TV
http... [Read More]
04 February 2016
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekisajili chama kipya cha siasa nchini cha Maadili na Uwajibikaji (CM-TANZANIA) na kuwaasa viongozi wake kutekeleza wajibu wao katika kuleta maendeleo ya taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama. Akiongea katika makabidhiano ya cheti cha usajili leo, Jaji Mutungi amevitaka Vyama vya siasa... [Read More]
04 February 2016
Katika utafiti ambao tayari wapiga kura 158 wamesha piga kura zao, inaonyesha watu 64 sawa na 40.5% wamesema hali ya mapambano ya UKIMWI unaendelea Vizuri, Huku asilimia wapiga kura 41 sawa na 25.9% wasema hali ya mapambano ya UKIMWI  inakwenda VIBAYA. SOMA ZAIDI
02 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemhamisha Bi. Suzan Paul Mlawi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Manejimenti ya utumishi wa umma na Utawala Bora. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, imeeleza kuwa uhamisho huo umeanzia tarehe... [Read More]
02 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelaani kitendo cha watu wanaosadikiwa kuwa ni majangili kumuua kwa kumpiga risasi Rubani wa helkopta Kepteni Roger Gower, raia wa Uingereza na kisha kuidondosha helkopta aliyokuwa akiiendesha wakati alipoungana na Askari wanyamapori waliokuwa wakikabiliana na majangili katika pori... [Read More]
01 February 2016
Waziri Mkuu mstaafu MIZENGO PINDA amewataka watanzania kutumia uhusiano uliopo kati ya TANZANIA na CHINA kujiletea maendeleo katika mambo mbalimbali hususan uchumi. Waziri PINDA ameyasema hayo katika sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa KICHINA zilizofanyika jijini Dar Es Salaam na kusema ili kuwa na uchumi imara kama uchumi wa nchi ya CHINA ni... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania