Home » Tanzania

Tanzania

25 January 2016
Na Charity James SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza bidhaa hafifu na zilizokwisha muda wake zenye thamani ya sh. milioni 20 kutoka nchini Marekani na China. Akizungumza wakati wa uteketezaji wa bidhaa hizo,Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TBS, Roida Andusamile alizitaja bidhaa hizo kuwa ni dawa za meno, pampas, sabuni za kuogea na... [Read More]
25 January 2016
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais JOHN MAGUFULI ameiagiza Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuimarisha kikosi cha NYUMBU ili kukidhi malengo ya kuanzishwa kwake ikiwa ni pamoja na kutengeneza silaha mbali mbali za kijeshi. Amiri Jeshi Mkuu ametoa kauli hiyo jijini ARUSHA wakati wa kuhitimisha mafunzo ya zoezi la... [Read More]
23 January 2016
#222222">VIONGOZI wakishiriki katika kuuombea mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina
23 January 2016
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameonya kuwa wilaya ama Mkoa wowote ambao utakumbwa na njaa, itakua ni kipimo tosha cha kuonesha kuwa Mkuu wa Mkoa ama Mkuu wa wilaya husika hafai kuendelea na wadhifa huo.   Rais Magufuli ametoa onyo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti... [Read More]
21 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya... [Read More]
21 January 2016
Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Balozi Seif Ali Idd amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa hali ya Zanzibar ni shwari na Wazanzibari wanasubiri kutangaziwa tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi. Balozi Seif Ali Idd ameyasema hayo Ikulu jijini Dar es salaam leo tarehe 20 Januari,... [Read More]
21 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Bi. Asha Bakari Makame kilichotokea jana tarehe 19 Januari, 2016 huko Dubai. Bi... [Read More]
21 January 2016
SERIKALI yaombwa kuchangia chakula cha watoto wakiwa shule ili kuwasaidia kusoma wakiwa wameshiba kwani watoto hawawezi kusoma wakiwa na matumbo hayana chakula.   Hayo yamesemwa na Shule kuu ya Elimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Joviter Katabaro wakati akichangia maada katika mkutano wa kujadili masuala ya elimu katika mkutano uliofanyika... [Read More]
20 January 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kufungua viwanda vya kusindika ngozi kwenye mikoa ya Shinyanga, Geita na Dar es Salaam ili kutoa soko kwa ngozi za wanyama wanaochinjwa kwenye machinjio ya mikoa hiyo. Ametoa kauli  jioni (Jumatatu, Januari 18, 2016) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Botswana kwenye kikao... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania