Home » Tanzania

Tanzania

18 January 2019
  Ataka viongozi wote wasimamie kilimo hicho WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Bodi ya Pamba ifanye kazi kwa karibu na Wakuu wa Mikoa ili kuhakikisha msimu huu zao hilo linafikia malengo ya uzalishaji.   Ametoa agizo hilo leo mchana (Ijumaa, Januari 18, 2019) wakati akizungumza na Wakuu wa mikoa nane ya Mara, Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera,... [Read More]
18 January 2019
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua eneo la ujenzi wa hospitali ya Uhuru lenye ukubwa wa ekari 109 lililoko katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Maduma wilayani humo leo mchana (Ijumaa, Januari 18, 2019), Waziri Mkuu amesema uamuzi wa Serikali ya kijiji hicho wa kutenga maeneo ya maendeleo ni wa kupigiwa... [Read More]
18 January 2019

 Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. James Kilaba akiwa kapigwa na butwaa na baadaye kushukuru wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipomhakikishia kumwongeza mkataba wa miaka mitano kuongoza taasisi hiyo katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya... [Read More]
12 January 2019
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makaazi ya Askari Polisi Mfikiwa Chake Chake Pemba. Makamu wa Rais ambaye yupo Pemba kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ambapo jana tarehe 10 Januari 2019 aliweka jiwe la msingi la Ujenzi wa... [Read More]
12 January 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11 Januari, 2019 ameongoza mapokezi ya ndege mpya aina ya Airbus A220-300 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuimarisha huduma za usafiri wa anga kupitia Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).   Ndege hiyo ni ya pili ya aina ya Airbus 220-300 kununuliwa na... [Read More]
04 January 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 04 Januari, 2019 ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo umetiwa saini na Kaimu Mtendaji Mkuu wa NFRA Bi.... [Read More]
31 December 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 30 Desemba, 2018 ameungana na Waumini wa Kanisa la Mtakatifu Petro, Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam kuadhimisha sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu, Maria na Joseph. Misa Takatifu ya kuadhimisha sherehe hiyo imeongozwa na Paroko Msaidizi, Padre Bathlomeo... [Read More]
21 December 2018
Wananchi watakiwa kupima afya zao mara kwa mara kubaini magonjwa mbali mbali nyemelezi ikiwemo ungojwa wa homa ya ini ambao watu wengi bado hawana uelewa nao. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Chanjo ya Homa ya Ini kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt Kandali Samuel alipokuwa katika Chuo cha Sayansi ya Afya Cha Mtakatifu Jospeh Jijini Dar Es... [Read More]
20 December 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja jipya la Selander linalounganisha eneo la Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Daraja hilo lenye urefu wa meta 1,030 na... [Read More]
20 December 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 13 Desemba, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wote wa Tanzania Bara, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania