Home » Tanzania » Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Makete Mkoani Njombe Tarehe 10 Agosti, 2022

Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Makete Mkoani Njombe Tarehe 10 Agosti, 2022

13 August 2022 | Tanzania

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imezuia kukata na kupandisha hadhi maeneo ya utawala kwa sababu yanaongeza gharama kwa Serikali.

Rais Samia amesema hayo leo wakati akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba.

Aidha, Rais Samia amesema mwelekeo wa Serikali ni kunyanyua hali ya uchumi wa nchi ili kuinua hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja.  

Rais Samia pia ametoa wito kwa Viongozi nchini kusimamia ipasavyo miradi inayotekelezwa na Serikali ili kuwajengea fursa Watanzania kufanya shughuli za maendeleo na kuinua kipato. Vile vile, Rais Samia amewataka Viongozi wa Kata, Wilaya na Mikoa

Ad