Home » Tanzania » Rais Dkt Magufuli azindua Mwaka wa mpya wa siku ya Sheria

Rais Dkt Magufuli azindua Mwaka wa mpya wa siku ya Sheria

05 February 2016 | Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph katika picha ya pamoja na jaji mkuu wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa katiba na sharia Dr. Harson Mwakyembe,Naibu spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson, jaji Mkuu wa Kenya Dkt. Willy Mutunga pamoja naviongozi mbalimbali wa Dini mara baada uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

 

Ad