Home » Tanzania » Watungua 'chopa' wanne wafungwa miaka 60

Watungua 'chopa' wanne wafungwa miaka 60

12 February 2016 | Tanzania

Raia wanne wa Tanzania waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya mauji ya mwanamazingira raia wa Unigereza ambaye helcopter yake ilidunguliwa, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kumiliki silaha za moto kinyume cha sheria.

Licha ya watuhumiwa hao kutokiri kuhusika na mauji ya rubani huyo, iwapo watapatikana na hatia ya kosa la kuu, huenda wakahukumiwa kunyongwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania, ambapo hata hivyo haijatekeleza kwa muda mrefu adhabu hiyo.

Rubani, Roger Gower aliuawa na majangili walioitungua helcopter yake wakati akifanya doria ya kawaida kwenye hifadhi ya Maswa kaskakazini mwa Tanzania.

Ad