Home » Tanzania

Tanzania

17 February 2016
Wataalamu wa mazingira wanasema kuwa biashara ya meno ya Tembo haiwezi kumalizwa hivi karibuni kwakuwa kwa sehemu kubwa wanaofanya biashara hiyo ni watu wenye ushawishi kwenye Serikali.   Akizungumza kwenye mjadala wa shirikisho la Marekani linalofanya utafiti wa kisayansi kuhusu wanyamapori, profesa wa bailojia katika chuo kikuu cha Washington,... [Read More]
16 February 2016
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Robert Boaz baada ya kupandishwa cheo  na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri wa Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Intelijensia wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan... [Read More]
16 February 2016
Na JacquilineMrisho MAELEZO Waziriwa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa ajira wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatega pamoja nakuwasimamisha kazi Wakurugenziwatatu. Ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu matatizo ya... [Read More]
16 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kabla ya Uteuzi huu Dkt. Kipilimba alikuwa Mkurugenzi wa Menejimenti ya Udhibiti (Director of Risk Management) katika Benki Kuu ya Tanzania. Dkt. Kipilimba anajaza nafasi... [Read More]
15 February 2016
Waziri wa maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto UMMY MWALIMU, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kutoa taarifa ya upungufu wa vitanda katika hospitali za serikali zilizopo katika maeneo yao ili serikali iendelee kuboresha huduma za afya Waziri MWALIMU ametoa aagizo hilo katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini DSM, wakati... [Read More]
15 February 2016
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Matukio wa TBC Mbwilo Kitujime na Meneja wa Vipindi wa shirika hilo Bi. Edna Rajab na kuagiza kufumuliwa kwa Idara nzima ya habari na matukio ya TBC kutokana na utendaji usioridhisha.
15 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi watatu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Rais Magufuli pia amefanya uteuzi wa makamishna wanne wa Jeshi la Polisi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA). Taarifa ya Katibu... [Read More]
12 February 2016
Raia wanne wa Tanzania waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya mauji ya mwanamazingira raia wa Unigereza ambaye helcopter yake ilidunguliwa, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kumiliki silaha za moto kinyume cha sheria. Licha ya watuhumiwa hao kutokiri kuhusika na mauji ya rubani huyo, iwapo watapatikana na hatia ya kosa la kuu, huenda... [Read More]
11 February 2016
Ajali mbaya ya barabarani imetokea mkoani Tanga  leo asubuhi  wakati Basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lilipogongana na Lori uso kwa uso katika eneo la Pangamlima Wilayani Korogwe mkoani humo. Taarifa za awali kutoka eneo la tukieo zinaeleza kuwa watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya atika ajali hiyo.

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania