Biashara
15 January 2016
Na Woinde Shizza.
WACHUUZI wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kutowabana walipe leseni ya ununuzi, kwani uwezo wao ni mdogo na wao ni madalali siyo wanunuzi wa madini hayo.
Wakizungumza juzi wachuuzi hao walidai kuwa hawapingi kulipa mapato ya serikali ila zoezi la ulipaji wa leseni... [Read More]
13 January 2016
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ametoa onyo
kwa Uongozi wa Baraza la Mji wa Wete Kisiwani Pemba kutoongeza wafanya
biashara wapya hadi wale wazamani wote watakapopatiwa nafasi za
kufanya biashara mara baada ya kumalizika kwa ujenzi wa soko jipya la
Mji huo.
Alisema wapo watendaji ndani ya... [Read More]

Pages
- « first
- ‹ previous
- 1
- 2
- 3