Home » Katiba

Katiba

21 January 2016
BONYEZA   KATIBA YA ZANZIBAR YA 1984 Toleo la 2010   (Toleo hili la Katiba ya Zanzibar ya 1984 linajumuisha na kuweka pamoja marekebisho yote ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanywa kuanzia mwaka 1985 hadi tarehe 13 Agosti, 2010 kwa madhumuni ya kurahisisha marejeo ya Katiba)
09 January 2016
SIKIZA MAKALA KATIBA INAYOPENDEKEZWA MADA - Ardhi, Maliasili na Mazingira
09 January 2016
SIKILIZA MAKALA KATIBA INAYOPENDEKEZWA Uraia, Maadili na  Miiko ya Uongozi na Utumishi wa umma.
09 January 2016
SIKILIZA MAKALA KATIBA INAYOPENDEKEZWA Mamlaka ya Wananchi, Utii na Hifadhi ya Katiba
06 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alianzisha mchakato wa uandikaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2011 kutokana na maombi ya wananchi wakiwemo viongozi wa vyama vya Siasa walioonyesha uhitaji wa Katiba mpya inayoendana na mazingira ya sasa ya nchi yetu. Mchakato huu umekamilika na kwa... [Read More]
Ad
Subscribe to Katiba