Home » Burudani

Burudani

01 December 2018
PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Hicho ndicho kilichotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye rasmi ametangaza kuwa mbioni kumuoa mrembo shombeshombe wa Mombasa nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Tanasha Donna Barbieri Oketch a.k.a Zahara Zaire.  Katika mahojiano na Gazeti la Ijumaa juu ya ishu hiyo mapema wiki... [Read More]
20 April 2017
Baadhi ya wasanii wa Filamu nchini (Bongo Movie) wamefanya maandamano katika Mtaa wa Aggrey, Kariakoo ambapo ni sehemu maarufu kwa kuuza kazi za sanaa (CD za filamu mbalimbali) za ndani na nje ya nchi. Wasanii hao wamefikia uamuzi huo ikiwa ni kupinga uingizwaji wa filamu kutoka nje ya nchi ambazo wamedai kuwa zinaporomosha soko la filamu za ndani... [Read More]
26 July 2016
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide amekamatwa jijini Kinshasa kwa kosa la kumpiga teke mnenguaji wake wa kike jijini Nairobi nchini Kenya mwishoni mwa juma lililopita. Masaibu ya Olomide yameendelea kushuhudiwa kwa juma la pili baada ya kukamatwa na kufukuzwa nchini Kenya kutokana na tukio hilo.... [Read More]
05 February 2016
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limefungua makucha na kuitaka kampuni ya LINO waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania kurudi mezani na kamati ya mashindano hayo ambayo ilijitoa wiki kadhaa nyuma kushiriki katika mashindano hayo ambayo awali yalikuwa yamefungiwa. Basata  wametoa ujumbe kuwataka LINO na kurudi mezani na kuangalia namna bora ya... [Read More]
Ad
Subscribe to Burudani