Home » Makala

Makala

02 April 2021
Athari ambazo zinaweza kuwaathiri zaidi ya watu watano kati ya watu 10 baada ya kupokea dozi za Oxford-AstraZeneca vaccine au Pfizer-BioNTech Baadhi ya watu hujihisi kuumwa baada ya kuchanjwa chanjo ya virusi vya corona - lakini hilo ni jambo la kawaida na ambalo linatarajiwa, wanasema madaktari. Zaidi ya mtu mmoja kati ya watu 10 anaweza... [Read More]
21 December 2018
SERIKALI-YAAHIDI-NEEMA-SEKTA-YA-AFYA-RUANGWA Katika kuhakikisha inawajali wananchi wake na kuboresha huduma za afya nchini, Serikali ya awamu ya Tano imeahidi kukipatia kituo cha afya cha Luchelengwa gari la kubebea wagonnjwa pamoja na mashine ya kisasa ya Xray kabla ya Aprili 2019. Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto... [Read More]
21 December 2018
Kasi ya Wananchi KUAMUA kuchangia fedha na nguvu zao kwa ajili ya ujenzi wa MIUNDOMBINU ya ELIMU na AFYA imeongezeka sana ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini.   Wananchi wa Kitongoji cha BINYAGO, Kijiji cha Kabegi, Kata ya Ifulifu WAMEAMUA kujenga Shule ya Msingi ambayo itaanza kutumika kama ya CHEKECHEA ifikapo April 2019. Lengo ni Shule ya Msingi... [Read More]
29 January 2018
Tanzania ni mmoja wa wazalishaji wakuu zaidi wa korosho katika Afrika, mauzo ya karosho ya Tanzania huchangia asilimia kumi na tano ya fedha za kigeni. Tanzania ni mkulima wa 8 mkubwa zaidi duniani na wa 4 katika Afrika. Takwimu iliyotolewa mwaka 2012 na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Tanznaia imekuwa imefanya vizuri katika... [Read More]
29 January 2018
Soko kubwa na bei Nzuri ya Parachichi la Tanzania imeimarika Nchi za Ulaya  za Denmark, Ufaransa, Uholanzi, Norway, Hispania na Uingereza Likitoa fulsa mpya ya Ustawi wa  zao hili kwa Watanzania, imebainika  kwamba Parachichi ya Tanzania imechukua chati ya Ubora katika Soko hilo.   Uchunguzi kitakwimu una baini Mwaka 2012, kiasi cha mauzo ya nje... [Read More]
05 June 2017
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT PHILEMONI NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA   Maandalizo ya Mazishi ya marehemu Dkt ,Philemoni Ndesamburo yakiendelea nyumbani kwake KDC mjini Moshi. Kwaya ikihudumu kwa nyimbo kwa ajili ya kuwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya... [Read More]
27 April 2016
Najua unaweza ukashtuka lakini hautakiwi kupepesuka kwani umefika wakati kwa Wananchi kuweza kuambiwa ukweli dhidi ya Viongozi wao, kuambiwa ukweli dhidi ya matendo na hali za viongozi wao zilivyo kabla na baada ya kuingia madarakani. Kwa wale wenye kumbukumbu sawia watakumbuka kuwa mwishoni mwa Mwaka jana zilitolewa tafiti mbalimbali za hali za... [Read More]
08 March 2016
Afya ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad yaimarika na aruhusiwa kurejea nyumbani.
29 February 2016
WAZIRI APOKEA MISAADA KWA WALIOPATWA NA MAAFA RUANGWA   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali kwa ajili ya wakazi wa vijiji vya Mtondo na Nanjaru wilayani Ruangwa mkoani Lindi ambao nyumba zao ziliezuliwa na upepo Januari mwaka huu. Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo  (Jumapili, Februari 28, 2016), Waziri Mkuu alisema maafa... [Read More]
16 February 2016
#333333; font-family:helvetica,arial,lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif; font-size:14px">Licha ya 92% ya tikiti maji kuwa ni maji, bado zile 8% zilizobaki zina faida kubwa sana kiafya jambo linaloonekana kutofahamika kwa wengi. #333333; font-family:helvetica,arial,lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif; font-size:14px">... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Makala