Home » Bunge

Bunge

21 December 2018
Wajasirimali wadogo wa Soko la Mlango mmoja wakishukuru Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula baada ya msaada wa 22,000,000 kutoa mfuko wa Jimbo ili kukarabati paa la Soko. Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagan
14 September 2017
#WizarayaAfya hadi sasa imesambaza vifungashio 60,000 kwa mikoa 6 ya kanda ya Ziwa - Dkt. Hamisi Kigwangala. #Ni jukumu la kila Halmashauri kuweka mahitaji ya vifungashio (delivery pack) - Dkt. Hamisi Kigwangala. #Wizara imepata ufadhili wa Bil. 66 kutoka Benki ya Dunia ambapo itaboresha vituo 100 - Dkt. Hamisi Kigwangala. #Vituo hivyo... [Read More]
29 August 2017
  #000000"> #000000"> Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa haabari juu ya ziara yao ya kutembelea mradi wa ukusanyaji fedha katika kituo cha Feri cha mabasi yaendayo Haraka #000000"> #000000"> Mbunge wa Ileje na mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Janeth Mbene akipanchi tiketi katika kituo... [Read More]
11 May 2017
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MBILI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 11, 2017.    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.  Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa... [Read More]
05 April 2017
MATOKEO YA UCHAGUZI WA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI (EALA) Posted By Robert Okanda On 5:17:00 AM Ndg. Maryam Ussi YAHYA KE CCM   Ndg. Abdullah Hasnu MAKAME ME CCM   Wagombea wasimamizi wakijiandaa kwenda kuhesabu kura zao.   Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe   Happiness Elias Lugiko Fancy Haji NKUHI... [Read More]
16 January 2017
Kamati za Kudumu za Bunge zimeanza kukutana Mjini Dodoma kutekeleza majukumu yake kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Sita wa Bunge uliopangwa kuanza tarehe 31 Januari 2017. Kufuatia ratiba hiyo ya shughuli za Kamati, Waheshimiwa Wabunge wote tayari  wamewasili Mjini Dodoma tayari kwa kuanza vikao vya Kamati. Katika kipindi chote hiki cha vikao hivyo,... [Read More]
31 October 2016
  S Nov 1 2016 tunatarajia kuanza kuzisikia headline za kutokea bungeni Dodoma ambapo vikao rasmi vya mkutano wa tano wa bunge la 11 utaanza. Leo Spika wa bunge Job Ndugai alikutana na waandishi wa habari Dodoma na kuelezea baadhi ya mikakati itakayofanyika ikiwa ni pamoja na kujadili muswada wa sheria ya za huduma za habari. ZAIDI
05 May 2016
Wabunge wameitaka Ofisi ya Bunge iwaondolee mara moja utaratibu wa kusaini kwa kutumia vidole mara mbili kwa siku kwa kuwa wao si wanafunzi. Hoja hiyo iliwasilishwa kwa njia ya mwongozo na kuungwa mkono na wabunge wote isipokuwa mawaziri na Mbunge wa Konde, Khatib Said Haji (CUF) mjini Dodoma jana. Katika Mwongozo wake, mbunge huyo alisema... [Read More]
21 April 2016
 
Kikao cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 kimeendelea tena Dodoma leo April 21 2016
Kikao cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 kimeendelea tena Dodoma leo April 21 2016
Kikao cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 kimeendelea tena Dodoma leo April 21 2016 Kikao cha tatu cha mkutano... [Read More]
21 April 2016
Kikao cha tatu cha mkutano wa tatu wa Bunge la 11 kimeendelea tena Dodoma leo April 21 2016 , shughuli nzima iliyoanza asubuhi ni maswali na majibu kwa Waziri Mkuu, Pia baadhi ya Wizara zilihusishwa katika maswali hayo, ambapo Mawaziri na Manaibu Waziri wa Wizara hizo walilazimika kuyatolea majibu. Baadhi ya Wizara hizo ni pamoja na Wizara ya... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Bunge