Home » Video » Rais Dkt. Magufuli amemuagiza Gavana wa BOT Prof. Beno Ndulu kupitia upya orodha ya wafanyakazi

Rais Dkt. Magufuli amemuagiza Gavana wa BOT Prof. Beno Ndulu kupitia upya orodha ya wafanyakazi

News Category: 

Rais Dkt. Magufuli amemuagiza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Beno Ndulu kupitia upya orodha ya wafanyakazi wa Benki hiyo, na kuwaondoa mara moja wale wote ambao hawana ulazima wa kuwa wafanyakazi katika benki hiyo.

Ad