Home » Benki Kuu

Benki Kuu

09 February 2016
Wizara ya Fedha na Mipango imetoa sh.bilioni 12.3 kwa ajili shughuli za mahakama ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Rais Dk. John Pombe Magufuli aliyoiahidi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya mahakama. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema fedha hiyo imetolewa kwa kutimiza... [Read More]
03 February 2016
SIKU moja baada ya Serikali kutangaza kuchukua hatua za kupunguza riba za mabenki kwa wananchi kwa kuagiza akaunti za mashirika na taasisi zake katika mabenki ya kibiashara zifungwe na kuhamisha fedha zilizopo katika akaunti hizo kwenda Benki Kuu ya Tanzania (BoT), benki ya CRDB imeunga mkono hatua hiyo. Pia benki hiyo imewataka wananchi wasiwe na... [Read More]
28 January 2016
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua Ndugu Julian Banzi RAPHAEL, kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue imeeleza kuwa uteuzi huo umeanzia tarehe 26 Januari, 2016. Kabla ya uteuzi huu Ndugu Julian Banzi... [Read More]
27 January 2016
BANK OF TANZANIA CALL FOR APTITUDE TEST The Bank of Tanzania invites for aptitude test the candidates who are shortlisted to fill vacant positions atthe Head Office and its Branch es for the posts of Internal Auditor, Legal Officer, Web Author, Accountant, Pharmaceutical Technician, Business Analyst, Technician and Economist respectively as... [Read More]
21 January 2016
Serikali Yaipiga Faini Ya Bilioni 3 Benki Ya Stanibic Kwa Kuhusika Na Ufisadi wa Dola Milioni 600   Utangulizi Mwezi Julai 2013, Benki Kuu ya Tanzania kupitia ufuatiliaji wa kawaida wa shughuli za mabenki iligundua matatizo yaliyohusiana na hasara itokanayo na mikopo na pia kuacha na kuondolewa kazini kwa viongozi waandamizi wa Stanbic Bank... [Read More]
21 January 2016
Benki Kuu ya Tanzania ni benki ya kitaifa inayosimamia masuala ya kibenki na kifedha. Makao yake makuu yapo Dar es Salaam nchini Tanzania. Kati ya majukumu yake ni utoaji wa fedha za Tanzania, Shilingi ya Tanzania. Benki Kuu ya Tanzania iliundwa na Sheria ya Benki ya Tanzania 1965. Mwaka 1995, baada ya kuonekana kuwa benki hii ina majukumu mengi... [Read More]
15 January 2016
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SERIKALI YA AWAMU YA TANO YAVUNJA REKODI KATIKA UKUSANYAJI MAPATO Serikali ya awamu ya Tano imevunja rekodi katika ukusanyaji wa mapato kwa mwezi Desemba mwaka 2015 kwa asilimia 18.9 zaidi ya lengo lililokusudiwa. Serikali ilikuwa na maoteo ya kukusanya Sh... [Read More]
14 January 2016
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji atembelea forodha ya Tunduma na kujionea utendaji kazi unavyofanyika pamoja na changamoto zinazowakabili.    Akiongea na Kaimu Meneja Msaidizi wa Forodha ya Tunduma Bw. Majaliwa Ndungutu, Mhe. Dkt Kijaji alisema Mamlaka ya mapato Tanzania ina wajibu wa kukusanya mapato ipasavyo ili nchi... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Benki Kuu