Home » Video » Utafiti Kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi mkuu 2015 ZANZIBAR

Utafiti Kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi mkuu 2015 ZANZIBAR

News Category: 
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kuwataka waandishi wote wa habari za kiuchunguzi pamoja na watafiti kuweka hadharani na kuueleza umma kile kilichotokea Zanzibar, Waandishi na watafiti mabalimbalai wamejitokeza  na vielelezo  vinavyoeleza jinsi uchaguzi huo ulivyoharibika
Vielelezo hivyo ni Nakala za fomu namba MUR. 12A za matokeo zilizotoka katika vituo vya kujumuisha kura ambazo zilikuwa zimejazwa kimakosa.
 
 
Ad