Home » Video » NIDA - Vitambulisho vya Taifa Vitakuwa na Saini mbili

NIDA - Vitambulisho vya Taifa Vitakuwa na Saini mbili

News Category: 

 

 

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Utambulisho wa Taifa, Dkt. Modestius Kipilimba amesema NIDA haitafuta vitambulisha vya awali, lakini itaendelea kutoa vitambulisho vyenye saini ya mtoaji na mmiliki wa kitambulisho. 

Zoezi la utoaji wa vitambulisho ni endelevu kwa kila atakefikia miak 18, kila siku inabidi awe na utambulisho wa Taifa. Vilevile hata wahamiaji ni lazima wawe na utambulisho wanapokuwa nchini.

Mfano wa vitambulisho vya nchi za Jirani vikiwa na saini.

.

 

 

 

Ad