Home » Marekani

Marekani

05 January 2016
Nchi ya Marekani imetangaza kuwa hivi karibuni itafunga rasmi kituo chake cha kijeshi cha operesheni za ndege zisizo na rubani, kilichoko kusini mwa nchi ya Ethiopia. Kituo hicho ambacho kipo umbali wa kilometa 400 kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kimekuwa kikitumika toka mwaka 2011, kutekeleza mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa... [Read More]
Ad
Subscribe to Marekani