Home » Obama

Obama

05 January 2016
Rais wa Marekani, Barack Obama hii leo anatarajiwa kutumia madaraka yake ya juu kuchukua hatua kuhusu udhibiti wa silaha, akiacha kutumia bunge la Congress, hatua inayoashiria kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu kwa chama chake. Mwaka uliopita rais Obama alionesha waziwazi kitofautiana na wanasiasa wanaopinga mapendekezo yake, ambapo aliahidi... [Read More]
Ad
Subscribe to Obama