Home » Uchaguzi

Uchaguzi

22 January 2016
  Uchaguzi Zanzibar kufanyika tarehe 20.03.2016 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi visiwani humo baada ya matokeo ya uchaguzi uliopita kufutwa. Uchaguzi huo sasa utafanyika Jumapili Machi 20, 2016. Tangazo hilo limetolewa na mwenyekiti wa ZEC,... [Read More]
21 January 2016
BONYEZA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA UCHAGUZI, NAM. 11 YA 1984 KANUNI ZA UCHAGUZI [Chini ya Kifungu cha 130(1)] _______________ KWA UWEZO iliopewa chini ya kifungu cha 130(1) cha Sheria ya Uchaguzi Nam. 11 ya 1984, Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar inatunga Kanuni zifuatazo:
21 January 2016
"Kwa kuwa Mhariri wa Gazeti la MwanaHALISI alikusudia kuupotosha umma kwa sababu anazozifahamu yeye mwenyewe kwa kutoa Taarifa zisizo sahihi, za uongo na uchochezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi inamtaka Mhariri wa MwanaHALISI KUIOMBA RADHI TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, UKURASA WA MBELE  WA TOLEO LIJALO KAMA ALIVYOFANYA KATIKA GAZETI HILO. Kama... [Read More]
20 January 2016
TAARIFA ZA UPOTOSHWAJI ZA GAZETI LA MWANAHALISI KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KIJITOUPELE   JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI       TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.  KUHUSU UPOTOSHWAJI WA TAARIFA ZILIZOANDIKWA NA GAZETI LA MWANAHALISI KUHUSIANA NA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA  KIJITOUPELE   Tume ya... [Read More]
07 January 2016
Wananchi Zanzibar, wametoa pongezi  baada ya Kufurahishwa na utendaji wa Rais wa Muungano Dk John Pombe Magufuli.
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"
07 January 2016
Mwanasheria NAJIMA GIGA afafanua tofauti iliyopo kati ya  NEC NA ZEC
07 January 2016
Hali ya Siasa nchini Zanzibar isipotoshwe
02 November 2015
Zanzibar's president has had his term extended after elections on the semi-autonomous Tanzanian archipelago were cancelled last week by the electoral chief, citing fraud. Ali Mohamed Shein's term in office was due to expire on Monday. He was seeking re-election as the ruling CCM's candidate; his rival Seif Sharif Hamad has declared himself the... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Uchaguzi