Home » Wazee

Wazee

07 January 2016
Wananchi Zanzibar, wametoa pongezi  baada ya Kufurahishwa na utendaji wa Rais wa Muungano Dk John Pombe Magufuli.
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"
Ad
Subscribe to Wazee