Home » Bunge » Tsh. 22,000,000 kutoa mfuko wa Jimbo ili kukarabati paa la Soko

Tsh. 22,000,000 kutoa mfuko wa Jimbo ili kukarabati paa la Soko

21 December 2018 | Bunge

Wajasirimali wadogo wa Soko la Mlango mmoja wakishukuru Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula baada ya msaada wa 22,000,000 kutoa mfuko wa Jimbo ili kukarabati paa la Soko.

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagan

Ad