Katiba Inayopendekezwa
06 January 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alianzisha mchakato wa uandikaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2011 kutokana na maombi ya wananchi wakiwemo viongozi wa vyama vya Siasa walioonyesha uhitaji wa Katiba mpya inayoendana na mazingira ya sasa ya nchi yetu.
Mchakato huu umekamilika na kwa... [Read More]




