Home » Afrika » Kiongozi wa mapinduzi wa Vijana Ahmed Duma kushitakiwa

Kiongozi wa mapinduzi wa Vijana Ahmed Duma kushitakiwa

27 January 2016 | Afrika

Kiongozi wa vijana nchini Misri Amr Ali ambaye vuguvugu lake la April 6 liliongoza mapinduzi ya mwaka 2011 yaliyomwondosha madarakani rais Hosni Mubarak atasimama kizimbani leo Jumatano kwa uchochezi, afisa wa mahakama ameeleza.

Mwendesha mashataka wa umma, aliamua jana Jumanne kupeleka shauri la Ali, mratibu mkuu wa vuguvugu hilo ambaye alikamatwa mwezi Septemba mwaka jana, katika mahakama ya uhalifu.

Ali ambaye kwa sasa yuko mahabusu atashitakiwa sambamba na watuhumiwa wengine watatu ambao kwa sasa wako nje kwa dhamana,

Ad