Home » Afrika » Mkutano wa Kawaida wa 42 wa wakuu wa nchi na Serikali wa SADC utakaofanyika Agosti 17 & 18,2022 Jijini Kinshasa,nchini DRC

Mkutano wa Kawaida wa 42 wa wakuu wa nchi na Serikali wa SADC utakaofanyika Agosti 17 & 18,2022 Jijini Kinshasa,nchini DRC

13 August 2022 | Afrika

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Sokoine akiongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha maandalizi ya Mkutano wa Kawaida wa 42 wa wakuu wa nchi na Serikali wa SADC utakaofanyika Agosti 17 & 18,2022 Jijini Kinshasa,nchini DRC

Ad