Home » Michezo » UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO

UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO

14 August 2017 | Michezo

YALIYOJIRI WAKATI WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO MHE.DKT. HARISSON MWAKYEMBE ALIPOKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA,LEO TAREHE 14 AGOSTI 2017

huu wa Wataalamu unajumuisha Waandisi, wasanifu wa majengo na wataalamu wa udongo.

huu ni matokeo ya ziara ya kihistoria ya mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco hapa nchini Oktoba mwaka Jana.

huu umekuja kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo Changamani la Michezo hapa Dodoma.

Changamani la Michezo litakuwa ni eneo la kisasa linalojumuisha uwanja wa mpira,Hoteli za kisasa na eneo la maduka- Shopping mall

imetenga zaidi ya Shilingi bilioni moja kwenye bajeti ya mwaka 2017-2018 kwa ajili ya kuanza mchakato wa ujenzi wa eneo hili.

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwakuikumbuka sekta ya michezo, ile ndoto yakuwa na uwanja wa kisasa wa mpira sasa imetimia.

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwakutenga eneo la hekari 300 kwa ajili ya ujenzi wa eneo Changamani la Michezo.

Ad