Home » Nje Ya Afrika » Uingereza; kura ya KUJITOA imeshinda kwa tofauti ya kura 1,269,501

Uingereza; kura ya KUJITOA imeshinda kwa tofauti ya kura 1,269,501

24 June 2016 | Nje ya Afrika

Uingereza imeamua KUJITENGA katika umoja wa ulaya kwa tofauti ya kura zaidi ya milioni moja.

 

KUJITOA KATIKA UMOJA WA ULAYA - 52%

 

KUBAKI KATIKA UMOJA WA ULAYA  KWA 48%

 

WAMEAMUA KUJITOA KWA TOFAUTI YA KURA 1,269,501