Killele cha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52
13 January 2016 | Tanzania Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan





![Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika killele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_3002.jpg?itok=b_rx2kbp)
![Pichani kutoka kushoto Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_3010.jpg?itok=ILrKvfw_)
![Baadhi ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika Uwanja wa Amaani Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_3017.jpg?itok=0qsxxYlk)
![Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika Kilele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_3048.jpg?itok=eyWefwfU)

![Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_3121.jpg?itok=_V99KItA)
![Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan akiwa katika gari maalum,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_3263.jpg?itok=FGQz3IqN)
