Kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Mkoa wa Kaskazini Unguja
13 January 2016 | Tanzania Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha,[Picha na Ikulu.]





![Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_1832.jpg?itok=JT_wpyiD)
![Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja lililojengwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali kutoka Uingereza (HIPZ) ikiwa ni katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_1836.jpg?itok=YT4iXOwI)
![Meneja Mipango wa Shirika lisilolakiserikali kutoka Nchini Uingereza (HIPZ) Bibi Pamela Allard akitoa salamu zake wakati wa ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini ,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_2081.jpg?itok=6vxGiDTr)

![Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini akipokea Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Afya Kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw,Michael Mhando,kadi hiyo imetolewa kwa ajili ya Mzee Makame Mjombo wa Gamba mweye umri wa miaka 140,wakati wa sherehe za ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo lililofunguliwa kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]](https://www.focusmedia.co.tz/sites/default/files/styles/flexslider_full/public/field/image/DSC_2177.jpg?itok=2r7Fs-SL)