Leo Oktoba 14 ni kilele cha mbio za mwenge wa uhuru
14 October 2016 | Tanzania Mbio za mwenge mwaka 2017 zitazinduliwa mkoani Katavi na maadhimisho ya kilele cha mbio hizo yatafanyika Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.