RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA PAROKIA BIKIRA MARIA CHATO
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afanya ziara ya kushitukiza Ofisi za TRA Kigamboni
Benny Mwaipaja, WFM-Dar es Salaam
Mbunge wa Sengerema Wilium Ngeleja arejesha pesa za Escraw
Rais Magufuli apongeza Mkapa Foundation na Global Fund
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameipongeza Taasisi ya Mkapa na Mfuko wa Dunia (Global Fund) kwa mchango wake wa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuboresha huduma za kijamii kwa wananchi zikiwemo kujenga zahanati, nyumba za watumishi wa afya na shule.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aweka jiwe la msingi uwekaji wa jiwe na msingi upanuzi wa Bandari.
Takukuru kukamilisha orodha ya watakao panda Kizimbani
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo amempongeza Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuonesha mfano bora katika Bara la Afrika katika kusimamia uchumi na kutetea maslai ya nchi katika uwekezaji.
Mhe. Rais Mstaafu Obasanjo ametoa pongezi hizo leo tarehe 20 Juni, 2017 muda mfupi baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Magufuli Ikulu Jijini Dar es Salaam.
BALOZI MIGIRO AMTUNUKU KIJANA ALIYESHINDA PICHA ZA KIMATAIFA
MKOA WA DAR ES SALAAM KUFUNGWA KAMERA
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. PAUL MAKONDA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA KUIMARISHA HALI YA JESHI LA POLISI MKOANI DAR ES SALAAM.
Na: Mwandishi wa Matokeo chanyA+





















