Magazeti yaonywa kwa kuandika habari za kuhukumu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba kesho ataongoza mkutano wa siku moja utakaozungumzia suala la wakimbizi raia wa Burundi ikiwemo maandalizi ya kuwarejesha kwao wakimbizi raia wa nchi hiyo waliojiandikisha kwa hiari kurejea nyumbani.
Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam Mh Paul Makoknda amepokea pikipiki 10
Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi awasili nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
YALIYOJIRI WAKATI WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO MHE.DKT. HARISSON MWAKYEMBE ALIPOKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA,LEO TAREHE 14 AGOSTI 2017
#Ujumbe huu wa Wataalamu unajumuisha Waandisi, wasanifu wa majengo na wataalamu wa udongo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amezindua ujenzi wa Mji wa Safari pamoja na kuwapa hati wakazi 100 wa mji wa Arusha.
