Rais Dkt. Magufuli azindua rasmi daraja la Kimataifa la Rusumo Nchini Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 6, 2016 amezindua daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha
Rusumo.
















