Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete awasili Tunis
Version:1.0 StartHTML:0000000167 EndHTML:0000005224 StartFragment:0000000457 EndFragment:0000005208
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika wa Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya, amewasili jana Jijini Tunis nchini Tunisia kushiriki Mkutano wa 8 wa Nchi majirani wa Libya.
Mkutano huo umeitishwa na Serikali ya Tunisia, na ni muendelezo wa jitihada za nchi majirani kusaidia kuleta hali ya amani na usalama nchini Libya.






























