Home » Afrika

Afrika

27 January 2016
Umoja wa Mataifa umetuma mialiko kwa ajili ya mazungumzo mapya ya amani nchini Syria yatakayofanyika mjini Geneva Uswisi juma hili, huku wawakilishi wa upinzani wakijadili kuhusu kuhudhuria au la. Mialiko imetolewa huku vikosi vya serikali kwa kusaidiwa na ndege za kivita za Urusi vikifanikiwa kuuteka mji wa waasi kusini mwa Syria , katika ushindi... [Read More]
27 January 2016
Serikali mpya ya umoja wa kitaifa nchini Libya itapendekezwa ndani ya siku 10 afisa mmoja amesema jana Jumanne , baada ya bunge la serikali inayotambuliwa kimataifa kupinga ile ya awali, hatua ambayo ni pigo kubwa katika juhudi za amani. Mataifa yenye nguvu yamezitaka pande hasimu nchini Libya kuunga mkono serikali ya Umoja wa kitaifa iliyoundwa... [Read More]
27 January 2016
Kiongozi wa vijana nchini Misri Amr Ali ambaye vuguvugu lake la April 6 liliongoza mapinduzi ya mwaka 2011 yaliyomwondosha madarakani rais Hosni Mubarak atasimama kizimbani leo Jumatano kwa uchochezi, afisa wa mahakama ameeleza. Mwendesha mashataka wa umma, aliamua jana Jumanne kupeleka shauri la Ali, mratibu mkuu wa vuguvugu hilo ambaye... [Read More]
27 January 2016
Jopo la wataalam wa Umoja wa mataifa wamependekeza kuwekewa vikwazo kwa rais wa Sudani Kusin , kiongozi wa waasi na maafisa wengine wawili kwa kuhusika katika vita ya kikatili nchini humo, wanadiplomasia wamesema jana Jumanne. Orodha ya majina manne imefikiswa kwenye baraza la Usalama la Umoja wa mataifa katika waraka wa siri wa nyongeza kwenye... [Read More]
26 January 2016
Wajumbe 15 wa Baraza la Usalama La Umoja Wa Mataifa wapo mjini BUJUMBURA nchini BURUNDI ambapo wanatarajia kukutana na Rais PIERRE NKURUNZIZA wa BURUNDI na kufanya mazungumzo nae kuhusu amani ya nchi hiyo. Mamia ya waandamanaji wanaounga mkono utawala wa Rais NKURUNZIZA walijitokeza nje ya uwanja wa ndege kupinga ujio wa wajumbe wa baraza hilo.... [Read More]
21 January 2016
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini mkataba wa makubaliano juu ya mashirikiano na Chuo Kikuu cha Komoro mjini Moroni katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 19 Januari, 2016 na kuhudhuriwa na uongozi wote wa Chuo Kikuu cha Komoro, Balozi wa Komoro nchini Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui Mohamed na Mwakilishi wa Balozi wa... [Read More]
18 January 2016
Serikali ya Kenya inasema kuwa operesheni maalumu ya utafutaji na uokoaji inaendelea nchini Somalia siku chache tu baada wanamgambo wa Al-Shabab kutekeleza shambulizi la kushtukiza kwenye kambi moja ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika na kudai kuwaua zaidi ya wanajeshi 100. Kambi hiyo iliyoko kusino magharibi mwa nchi ya Somalia ilivamiwa na... [Read More]
18 January 2016
Serikali ya Kenya inasema kuwa operesheni maalumu ya utafutaji na uokoaji inaendelea nchini Somalia siku chache tu baada wanamgambo wa Al-Shabab kutekeleza shambulizi la kushtukiza kwenye kambi moja ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika na kudai kuwaua zaidi ya wanajeshi 100.   Kambi hiyo iliyoko kusino magharibi mwa nchi ya Somalia ilivamiwa na... [Read More]
18 January 2016
Rais wa Kenya Uhuru Mwigai Kenyatta ameendelea kusisitiza azma ya Serikali ya kutaka kuwashughuikia na kuwaondoa watumishi wa Mungu waongo ambao wanatumia udhaifu wa raia kujilimbikizia mali kupitia sadaka. Rais Kenyatta ameyasema haya akiwa mjini Mombasa, ambapo amewataka viongozi wa dini kushirikiana na Serikali katika kuwabaini wanaojiita... [Read More]
07 January 2016
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anawataka wazazi na jamii kwa jumla kushirikiana na serikali na kuwafichua vijana wanaojiunga na makundi ya kijihadi au kwenda kujiunga na kundi la Al Shabab nchini Somalia. Akizungumza na vijana kutoka majimbo ya Pwani mjini Mombasa, rais Kenyatta amesisitiza kuwa kuwaficha wahalifu kutasaidia kuhatarisha maisha ya... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika