Rais Dr Magufuli ameteua watano leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Novemba, 2016 amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) #0000CD">Bw. Diwani Athuman kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.
Uteuzi wa Bw. Diwani Athuman unaanza mara moja.

















