Makamu wa rais apokea ujumbe kutoka Congo Brazzaville
Makamu wa rais apokea ujumbe kutoka Congo Brazzaville
Makamu wa rais apokea ujumbe kutoka Congo Brazzaville
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo tarehe 01 Novemba, 2016 wamezindua barabara ya Southern By-pass iliyojengwa kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.
Sherehe ya uzinduzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 28 na inayounganisha maeneo mbalimbali ya Jiji la Nairobi imefanyika katika eneo la Karen nje kidogo ya Jiji la Nairobi.
RAIS wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa Kenya ndio mshirika nambari moja wa Tanzania katika uwekezaji na biashara barani Afrika.
Akizungumza katika ikulu ya rais waKenya jijini Nairobi muda mfupi baada ya kuwasili nchini humo, Rais Magufuli amesisitiza kuwa hakuna taifa jingine ambalo limewekeza nchini mwake kama Kenya.
Forbes wamemtaja Rais Magufuli kama kiongozi ambaye amefanikiwa kuongeza kiwango cha uchumi wa nchi yake huku akishindana na watu wengine kama Michael Le Roux ambaye ni muanzilishi wa Capitec Bank nchini Afrika Kusini, Benki ambazo zimeonekana kuwa rahisi zaidi kutumika na wananchi wa Afrika Kusini.
Wengine ni Thuli Madonsela, Ameenah Gulib pamoja na watu wa Rwanda.
Utafiti uliofanywa nchini DRCongo hivi karibuni, unaonyesha kwamba asilimia 80,4 ya wananchi wa taifa hilo wanapinga muhula wa 3 wa rais Joseph Kabila, huku wengine wakiona kwamba kiongozi huyo anatakiwa kuondoka madarakani Novemba 19 mwaka huu.
Huku asilimia kubwa ikiona kwamba iwapo uchaguzi utafanyika nchini humo viongozi ambao hawakushiriki katika mjadala wa kitaifa uliofanyika nchini humo hivi karibuni
Mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI, amewasili hapa nchini tarehe 23 Oktoba, 2016 kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Oktoba, 2016 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20 ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa Mwezi Juni mwaka huu wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa maktaba ya kisasa ya chuo hicho.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Lindi (LUWASA), Mhandisi Adam Alexander kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi pamoja na kushindwa kusimamia ujenzi wa kituo cha kuzalisha maji katika Manispaa ya Lindi.
Waziri Mkuu amemkabidhi Mhandisi huyo kwa Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Lindi, Bw. Stephen Chami na kumuelekeza afanye uchunguzi zaidi juu ya suala hilo.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa fursa kwa vyombo vya habari kuialika kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa Wamiliki,Wahariri na wafanyakazi wa vyombo hivyo ili kukuza uelewa juu ya sheria, kanuni, na taratibu zinazoongoza na kusimamia uendeshaji wa uchaguzi na kufahamu majukumu ya Tume hapa nchini.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Bw. Kailima Ramadhani ofisini kwake wakati akitoa tathmini juu ya Elimu ya Mpiga Kura inayotolewa na Tume hivi sasa hapa nchini.