Home » Node

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Azindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Makaika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.

Rais Magufuli ameagana na Balozi wa Italia hapa nchini Mheshimiwa Luigi Scotto

Rais Magufuli ameagana na Balozi wa Italia hapa nchini Mheshimiwa Luigi Scotto ambaye amemaliza muda wake wa miaka mitatu.

Balozi Luigi Scotto amesema katika kipindi chake amewezesha kuongezeka kwa biashara kati ya Italy na Tanzania kwa asilimia 35 na ameielezea Tanzania kuwa ni nchi nzuri aliyoipenda na kwamba ataendelea kutangaza fursa zilizopo Tanzania huko Italia na kwingineko.

WANAHABARI SACCOS Kuanzishwa Tanzania

Wanahabari nchini Tanzania wameungana ili kuanzisha “WANAHABARI SACCOS” katika mkutano wao wa kwanza wa maandalizi uliofanyika leo 29May2016 jijini Dar es salaam Katika Mgahawa wa City Sports Longe  mkabala na mnara wa askari Posta.

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na wajumbe wasiopungua Ishirini na wawili, WANAHABARI SACCOS inadhamiria Kuinua, kustawisha na kuboresha hali ya uchumi na kijamii kwa Wanahabari wanachama, kwa kuwahamasisha kuchukua mikopo yenye manufaa na riba nafuu pamoja na huduma nyingine za kifedha kwa kutumia mfumo wa kisasa.

Pages

Ad
Subscribe to Focus Media RSS