TCU YAFUTA VYUO VISHIRIKI VYA MTAKATIFU JOSEP
TCU YAFUTA VYUO VISHIRIKI VYA MTAKATIFU JOSEP
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof Yunus Mgaya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi huo.
MAELEZO
TCU YAFUTA VYUO VISHIRIKI VYA MTAKATIFU JOSEP
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof Yunus Mgaya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi huo.
MAELEZO
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Kailima Ramadhani amemkemea Mwandishi Ibrahim Yamola wa Gazeti la Tanzania Daima kwa kuandika habari za uwongo.
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Mhandisi Marcellin Benedict Magesa kuanzia Februari 18 mwaka huu.
Profesa Mbarawa amechukua hatua hiyo kutokana na kuwepo kwa sababu mbalimbali zikiwemo, kushindwa kusimamia matengenezo ya magari na mitambo ya Serikali nchini, kushindwa kusimamia uendeshaji wa matenegenzo ya vivuko vya Serikali nchini pamoja na kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato kupitia vyanzo mbalimbali.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam

Haben Girma ni msichana mwenye miaka 27, kiziwi na kipofu wa kwanza kuhitimu katika shule ya Law (Havard Law School) huko marekani, Haben anagombania haki za watu vipofu na viziwi duniani. Leo hii Haben Girma ni wakili anayepigania haki za watu walemavu. Haben anasema kuwa yeye ni ushahidi kuwa ukiamini unaweza kufanya kitu basi utaweza kukikamilisha.