Rais ametengua uteuzi wa Bwana Dickson E. MAIMU, Mkurugenzi Mkuu wa NIDA
-
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua uteuzi wa Bwana Dickson E. MAIMU, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kuanzia leo, tarehe 25 Januari, 2016.



















