Home » Node

Uchaguzi Zanzibar kufanyika tarehe 20.03.2016

 

Uchaguzi Zanzibar kufanyika tarehe 20.03.2016

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi visiwani humo baada ya matokeo ya uchaguzi uliopita kufutwa.

Uchaguzi huo sasa utafanyika Jumapili Machi 20, 2016. Tangazo hilo limetolewa na mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salim Jecha.

Bw. Jecha amesema tarehe hiyo iliamuliwa na tume baada ya mkutano hapo jana.

Pages

Ad
Subscribe to Focus Media RSS